OMMY DIMPOZ AKIWA SHOPPING NDANI YA JIJI LA NEW YORK KUJIANDAA NA SHOW YA HOUSTON JUMAMOSI HII TAREHE 28

Kama ilivyo kawaida yetu Kampuni ya DMK Global Promotions na J&P Ent sikuzote ni kuhakikisha kuwa Msanii anapofika Marekani mbali kufanya Show mbali mbali pia huwa tunahakikisha msanii ana have fan nakuutumia muda wake kutembelea sehemu mbali mbali za marekani kama mtalii na Entertainer.Tou Hii ya Nai Nai pia imewashirikisha Swahili Tv/Swahili Radio online ambao wanafanikisha kutuletea habari na matukio ya Dimpoz akiwa USA.
Kushoto ni Promoter/USA Tour Manager Mr "DMK" pamoja na Dimpoz wakipiga picha na Fan
 
Ommy Dimpoz akiwa na Promoter "DMK" Time Square NYC baada ya Shopping
 
                                        

Dimpoz na Promoter wake goofing around katikati ya Jiji la New York


DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group akiwa na Mkurugenzi mwenzie wa MMK Ndugu Alex Kassuwi  wakicheza "TUPOGO " katikati ya Jiji la NY

 DMK NA DIMPOZ WAKIFURAHIA JAMBO
DIMPOZ akiwa na mwanamuziki Mtanzania anayeishi New York Ashraf Maundi wakipigana picha
DIMPOZ Aliweza kukutana na Super Model Flaviana Matata ndani ya jiji la NY na kubadilishana mawazo,Flaviana ni Mrembo anayeiwakilisha Tanzania Vyema katika anga za kimataifa.
Hapa ni Ndani ya Mitaa ya BROOKLYN nyuma ya alipotokea JAY Z

ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KWA HABARI ZAIDI ZA TOUR HII KILA SIKU