MTANGAZAJI MAARUFU "MARY MGAWE" AJA NA KIPINDI CHA GOSPEL KILA JUMAPILI ASUBUHI MOJA KWAMOJA KUTOKA WASHINGTON DC KUPITIA SWAHILI RADIO !

Kila jumapili katika Swahili Radio Mary Mgawe anakuletea kipindi maalum cha Gospel, akizungumzia muziki wa injili pamoja na mada mbalimbali zihusuzo injili.
Jumapili hii Septemba 01,2013. Mary Mgawe alikuwa naye  Bony Mwaitege. Kama ulipitwa sikiliza kwa kubofya hapa chini. 
Usikose kusikiliza Swahili Radio Online Kipidi cha Injili na Mary Mgawe kila Jumapili Saa moja asubuhi Marekani-Mashariki, Tanzania itakuwa  Saa nane mchana. Baada ya hapo miziki mchanganyiko ya Injili na kipindi kinarudiwa tena.
LINK