CLUB #1 YA KIMAREKANI YAMKARIBISHA OMMY DIMPOZ KUFANYA APPEARANCE LEO USIKU !!


KAMA HUKUPATA KUMUONA AKIWA KWENYE SHOW WASHINGTON DC..OMMY DIMPOZ ATAFANYA APPEARANCE NDANI YA CLUB MAARUFU NAMBARI ONE YA WASHINGTON DC..."LUX LOUNGE" ILIYOPO NEW YORK AVENUE,IJUMAA HII  KABLA YAKUPANDA NDEGE KUELEKEA HOUSTON JUMAMOSI ALFAJIRI KWA AJILI YA SHOW YA HOUSTON JUMAMOSI USIKU.MWALIKO HUO UMEFANYWA NA MMILIKI WA CLUB HIYO YA KIMAREKANI BAADA YA MWANAE KUHUDHURIA SHOW YA OMMY DIMPOZ YA WASHINGTON DC NA KUCHENGUKA NA MIONDOKO YAKE YA "TUPOGO"
WASHINGTON KAZI KWENU KWA MARA NYINGINE TENA.