JAY Z ACCUSED FOR WANTING TO CHEAT ON BEYONCE?????

Screen Shot 2013-08-05 at 11.05.23 AM
Rapper ambaye ndo kwanza anachipukia "LIV" ametoa shutuma nzito ambazo amedai Jay Z alikuwa anamnyemelea akitaka afanye nae mapenzi wakati bado anamke (Beyonce)..shutuma hizi zimeenea sana kwa sasa na Mwandishi wetu DMK alijaribu kumpigia simu Jay Z na ROc Nation ili kupata ukweli lakini simu hazikujibiwa.Je kuna ukweli ndani yake au "Just another gold digger try to get famous????endelea kutembelea BLOG YETU YA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM na WWW.DMK411.BLOGSPOT.COM  kwa more updates.