SWAHILI TV KUTOA TUZO ZA HESHIMA 2013 KWA WANA JUMUIYA WA AFRIKA MASHARIKI NA NCHI JIRANI


Swahili TV itatoa tuzo za heshima mwaka huu 2013, kwa mara ya kwanza kwa wadau waliojitoa kusaidia  jamii zao. Washindi watatoka katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, pamoja na  Zambia, na Congo DRC. Tutatoa taarifa hapo baadae vigezo na jinsi ya kushiriki, wapi na lini tuzo zitatolewa.