CHAMELEON AACHA HISTORIA CALIFORNIA KWA MIONDOKO YAKE NA MTANZANIA ERICA NAYE ALIFUNGUA PAZIA KWA KISHINDO!



    Hapa mwanamuziki huyo kutoka UGANDA akiimba hit song yake "VALU VALU" wimbo ambao ulimpatia tuzo za Kilimanjaro nchini tanzania kama Wimbo bora wa mwaka 2013.


DR JOSE CHAMELEON BAADA YA KUPIGA SHOW DC..alielekea California ambapo mbali na ustadi wake wa kuimba aliwaacha hoi washabiki wake kwa kucheza nao bega kwa bega.

 Hapa Chameleon anaonekana akiufeel Mchezo wa huyu dada wakati Bwana Walter Minja akiangalia kwa umakini zaidi pembeni yao.




                            Hapa sina lakuongea maana mabo yanajieleza yenyewe.



  SHOW ilianza kwa Mwanadada Mtanzania aishie CALI "ERICA" kufungua show kwa kishindo.Erica ni Mtanzania anayefanya shughuli zake za Muziki hapa marekani na amekuwa akizunguka karibu nchi nzima akifanya show zake kwa umakini wa hali yajuu.Erica pia anatazamiwa Kufungua SHOW YA "OMMY DIMPOZ" atakapokuja Mwezi ujao huku akisindikizwa na mwanamuziki wa bongo Fleva aishie Washington DC "AJ UBAO"


               ERICA AKIWAPELEKA MASHABIKI WAKE MCHAKA MCHAKA.
                          PICHA KWA HISANI YA WATANZANIA KUTOKA BAY AREA.