MKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA DMK GLOBAL MANAGEMENT ATEMBELEA "NIK HOME STAY" KUJIONEA MWENYEWE LIVE!

AKIZUNGUMZA NA VIJITHINGS AMETHIBITISHA NIK HOME STAY IS REAL,WHAT YOU SEE IS WHAT YOU GET..NO GIMMICK .
                HII NDIO LIVING ROOM KAMA ZINAVYOONEKANA IN REAL LIFE MAMBO YA WEATHER KAMA KAWAIDA !

DINING YA KISASA
UKITEMBELEA WASHINGTON DC,MD,VA WAPIGIE NIKI HOME STAY KWA MAHALI SAFI PA KULALA HUDUMA ZAO ZINA INCLUDES MAHALI PA KULALA PAMOJA NA BREAKFAST PIA WANA PACKAGE ZINAZO INCLUDE LUNCH NA DINNER KUTOKA KILIMANJARO FOOD.