MANGO LASSI NA SOUP YA SAMAKI-VYAPATIKANA KUANZIA JUMAMOSI HII PALE KILIMANJARO-WASHINGTON DMV !

SUMMER NDIO INAINGIA -KILIMANJARO RESTAURANT SASA INATENGENEZA KINYWAJI SAFI CHA "MANGO LASSI" PIA SOUP YA SAMAKI SASA INAPATIKANA
MANGO LASSI BARIIIIIIIIIIIIDI
PIA KWA MAONI YA WENGI SOUP YA SAMAKI SASA INAPATIKANA 
KARIBU WEEKEND HII UPATE CHAKULA CHA KINYUMBANI KUTOKA KWA MTAALAMU MWENYE UZOEFU WAKUTOSHA "CHEF SHAABANI"

MISHIKAKI BARA BARA

ADDRESS YETU NI
2310 PRICE AVENUE,SILVER SPRING WHEATON,MD,20902
TOGO ORDER CALL 301-661-6207