BREAKING NEWZ-KWETU FASHION DESIGN SASA YAUCHINJA....YAPATA MKATABA MNONO NA DUKA KUBWA LA NGUO LENYE MADUKA WASHINGTON,MARYLAND,CARIFORNIA NA NEW YORK !


NGUO ZA KWETU FASHION KAMA ZILIVYOKUTWA NA CAMERA YETU NDANI YA DUKA HILO

UNAPENDA VIMINI?? TEMBELEA MADUKA HAYA KATIKA MIJI ILIYOTAJWA HAPO JUU

            
DIANE'S BOUTIQUE -INAVYOONEKANA KWANJE
            
VIKOROKORO VYA KWETU FASHION PIA VINAPATIKANA KWENYE MADUKA HAYO
            
BLOG YETU ILIONGEA NA WENYE DUKA NA WALISEMA MAGAUNI YA JIONI NDIYO YANAYO UZIKA SANA KWA WAMAREKANI KWANI NI UNIQUE DESIGNS ZISIZOPATIKANA KOKOTE
            
            
                        
JE WALIKUMBUKA GAUNI HILI ?????????????????????????????????????????
            
            


            
            
            
            

MADIRISHANI NA MILANGONI NI NGUO ZA KWETU FASHION NDIO ZIMEWEKWA ZIVUTIE WATEJA


CEO MWENYEWE WA KWETU FASHION "FORMER MISS TEMEKE " NDANI YA LIMITED EDITION !
 KWA WALE WAKAZI WA DC,MD,VA TEMBELEA DUKA HILI LILILOPO DOWNTOWN SILVER  SPRING,LINAITWA  "DIANE'S BOUTIQUE" 801 WAYNE AVENUE,MD,20910