
KWETU FASHION DESIGN,NGUO ZAKE MWENYEWE B'DAY YAKE MWENYEWE

MAMA NA MWANA NDANI YA KWETU FASHION DESIGN SUMMER EDITION...KIMITINDO MITINDO ZAIDI !!



MISSY TEMEKE NA BABA MWENYE NYUMBA WAKE !!

HEHEHE UKISHIKWA SHIKAMANA BANA

BAADA YA KULA NI WAKATI WA GAHAWA KIDOGO




PICHA ZA CHINI NI BAADHI YA WAGENI WAALIKWA




KIONGOZI WA CCM DMV ALIYEMALIZA MUDA WAKE BI LOVENESS MAMUYA ALIKUWEPO




CAKE ILIKAA KIFASHION FASHION ZAIDI


MISOSI ILIKUWA YA KUMWAGA MAMBO YA BUFFET KULA UWEZAVYOOOO!

BY THE WAY UKITAKA KUODA NGUO ZA KWETU FASHION PIGA - 3019104634