MAMBO YALIVYOKUWA NECTAR LOUNGE KWA OBAMA PARTY....SASA LEO JUMAPILI MAMBO YOTE NI PASHION LOUNGE USIKOSE 
Wadau wakipata ukodak moment
Dj Jaymoh kutoka Baltimore akipata picha ya pamoja na mmoja ya mdau
 Wadau waliojumuika kusherehekea kuapishwa jwa Rais Barack Obama wakila hepi