HAFSA KAZINJA " KUTUA DAR IJUMAA HII BAADA YA KUMALIZA ZIARA MAREKANI-PIA ATOA NYIMBO NA VIDEO MPYA "SONGA MBELE"BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA MIEZI MITATU NCHINI MAREKANI.....MALKIA WA ZOUK "HAFSA KAZINJA " SASA KUWASILI DAR-ES-SALAAM IJUMAA HII NA NDEGE YA SOUTH AFRICAN AIRLINE,HABARI HIZI ZIMETHIBITISHWA NA MAPROMOTER WAKE KUTOKA MAREKANI NDUGU "DMK" & J&P..NA TUNAOMBA TUJITOKEZE KWA WINGI AIRPORT KUMPOKEA,PIA AKIWA MAREKANI "HAFSA ALIWEZA KUREKODI NYIMBO MPYA NA MPIGA GITAA MAARUFU KUTOKA ZAIRE "NGUMA LOKITO...NA ALIWEZA KUFANYA VIDEO HIYO NA MADANSA WA KIZUNGU AMBAO WALIUPENDA SANA WIMBO HUO UNAOITWA "SONGA MBELE" !!