SUGU NA PROF JAY..WAPAGAWISHA DAR LIVE...PALIKUWA HAPATOSHI Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live Jumapili
 Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu ndani ya Dar Live.
 Sugu na Mkoloni wakizidi kuwadatisha mashabiki.
 Profesa Jay akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live.