
MATILDA (KATI) MSHINDI WA PILI MAGDALENA MUNISI (SHOTO)NA WATATU WITNESS MICHAEL(KULIA)

HAWA NDO WALIO INGIA TANO BORA

WAREMBO WOTE KATIKA PICHA YA PAMOJA
Usiku huu ulikuwa na Burudani ya kutosha,Pamoja wa warembo hawa kukonga Nyioyo za watu pia kulikuwa na show kabambe kutoka kwa Twanga pepeta, Mwanadada Recho,na Mkali wao Diamond !