LIGHTNESS MICHAEL-ASHINDA REDD'S MISS DODOMA


Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd’s Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo usiku wa kuamkia Jumapili....Shindano hilo lilikuwa kubwa na gumu kwani marembo wote walikuwa wamekamilika!!