KILIMANJARO MUSIC AWARDS THIS SAT AT MLIMANI CITY IN DAR


Kilimanjaro premium lager wanakuletea Kilimanjaro Tanzania music awards 2012, ni Jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012 tuzo mbalimbali kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live Yule msanii uliyempigia kura kupanda kwa stage na kuchukua award, huku shangwe zakutosha, good music plus performance nzito kwa wasanii nguli, ni Mlimani City Hall ndo mahala pa tukio, sh 75000/= tu kwa VIP huku ukipata buffet dinner plus drinks bureee na sh 20000/= kwa viti vya kawaida na BIA moja ya bure pia, sasa ni hivi tickets zinapatikana

Ukumbi wa Mlimani city kuanzia jumatatu,
Posta - Baraka Garden mtaa wa Azikiwe nyuma ya CRDB Bank.
Zizzou Fashion ya Victoria, Sinza na Tegeta.
Bornie to Shine Mwenge
Robbie One Fashion – Kinondoni
Engine Petrol Station – Mbezi.