PICHA HIZI KWA HISANI YA iPHONE
MWANA MITINDO MISSY TEMEKE AKIFANYA FITTING BACK STAGE
KWETU FASHION ZINAKUBALIKA HATA KWA WENZETU HAWA
HATA UKIWA MCHINA UTAZIPENDA TUU!
Kwa raha zako angalia Design na sio miguu...ingawa macho hayna pazia
Ukivaa kwetu fashin hata Miondoko inabadilika
Ule mpasuo wa Angelina Jollie ndo huo sasa,piga simu weka order yako mapeeeema
Denim fab Mix....Shorts or Long Pants wewe tu !
BACK STAGE KIMASAI MASAI ZAIDI
BAADHI YA MODELS WAKIPATA UKODAT BACK STAGE
HEHEHE SIJUI NINI TENA
KIMORANI MORANI ZAIDI
BACK STAGE NA KINA KAKA WALIONUNUA NGUO ZA KWETU FASHION
CREATIVITY.....KIKWETU KWETU
WAMASAI HAWA AU?
MCHINA CHINA BWANA KAPENDEZAJE?
KICHINA CHINA ZAIDI