OMMY DIMPOZ,VANESSA MDEE NA JOKATE WATAJWA KUWANIA TUZO ZA SWAHILI FASHION WEEK !

                            
             Jokate,Irene Wolper na Dimpoz katika picha wakati wa Swahili launch
                            
                            
                                                             Picha kwa hisani ya Bongo5

ILE VIDEO MPYA YA RIHANNA INAYOKIMBIZA KWA SASA!

DIAMOND APOST KWENYE INSTAGRAM YAKE BEHIND THE SCENE PHOTO YA VIDEO SHOOT YA REMIZ YA MY NUMBER ONE!



           diamond2
Diamond aliandika hii caption , “Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama vyema katika ramani hii ya muziki worldwide na kuipa sifa na heshima zaidi East Africa yetu. Eeeh Mwenyezi Mungu ibariki Tanzani, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla. #LastNight #Onset #NumberOneRemix#DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera
Kwa mara ya kwanza Diamond amekuwa ndiye msanii wa kwanza kufanya Video na Dorector maarufu wa Nigeria ambaye amefanya video za wasanii wakali wa africa kama P Square na wengine wengi.
Big Up brodaaaaaaaaa!

TOP 20 YA MJ FM ARUSHA-RICH MAVOKO AMKIMBUIZA DIAMOND KILELENI!


Hii ndiyo chart yetu Mambo Jambo Radio 93.0 FM kwa wiki hii ambapo kama inavyonekana kwenye picha hapo kwa wiki hii ngoma ya Ric Mavocco ROHO YANGU imeibwaga ngoma ya Diamond NUMBER ONE na kuichukua nafasi ya kwanza.

Kupigia kura ngoma yoyote ili ipande au iingie kwenye Chart yetu hii Unatuma ujumbe Mfupi ukianza na herufi KWT unaacha nafasi unaandika jina lako kisha andika jina la wimbo unaoupendekeza na utume ujumbe wako kwenda namba 15678
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA UKRASA WA MJ FM ARUSHA FACEBOOK HAPA >>https://www.facebook.com/MamboJamboRadio930Arusha

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU MARTHA SHANI!

Na Mary Mgawe wa VOA

MISA YA KUMUAGA BI MARTHA SHANI NI LEO-WASHINGTON DMV!

MISA YA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU ITAFANYIKA LEO TAREHE 27 OCTOBER  GREENBELT LUTHERAN  CHURCH

ADDRESS NI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM.MD.20706

MISA ITAANZA SAA NANE MCHANA HADI SAA KUMI JIONI,ITAFUATIWA NA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU .

LEO WASHINGTON DMV....TUNAFANYA HARAMBEE YA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MARTHA SHANI!


Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013)

KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA LEO JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA NANE MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE  (FUNDRAISING)  KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA

KEMP MILL ESTATE LOCAL PARK

120 CLAYBROOK DR
WHEATON.MD.20906


KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

MAENDELEO YA MSIBA WA DADA YETU MARTHA SHANI DMV!

KWA WATANZANIA WOTE

Marehemu Martha Shani ( 1976- 2013 )
Marehemu Bi Martha akiwa na Mumewe Alex pamoja na Watoto wao Jose na Chris

NDUGU WATANZANIA BADO TUNAHITAJI MSAADA WENU WA HALI NA MALI ILI KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MPENDWA MKE WAKE ALIYEFARIKI GHAFLA SIKU YA JUMAMOSI OCT 19, 2013. KUTOA NI MOYO NA CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KITASAIDIA NA HATIMAE KUWEZESHA SAFARI HII NDEFU YA KUMPELEKA MAREHEMU KATIKA MAPUMZIKO KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE TANZANIA
TUNGEPENDA KUWAJULISHA KUWA JUMUIYA YA WATANZANIA (DMV) IMEPATA PUNGUZO LA GHARAMA (DISCOUNT) ZA  KUMSAFIRISHA MAREHEMU NA FAMILIA YAKE AMBAPO KWA SASA KIASI KINACHOHITAJIKA NI $ 16,500

FEDHA ZILIZOPATIKANA HADI SASA  NI $8,620
BADO TUNAHITAJI $ 7,880

TAFADHALI TUMA RAMBI RAMBI ZAKO KUPITIA ACCOUNT IFUATAYO :-
# 446030759150 BANK OF AMERICA,MD
ROUTING # 052001633
MAJINA KWENYE ACCOUNT NI ALEX KASSUWI & FAITH ISINGO

CHEKI ZINAWEZWA ANDIKWA KWA ALEX KASSUWI AU FAITH ISINGO.

PIA UNAWEZA KUTOA RAMBIRAMBI ZAKO KWA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU AMBAKO NDIKO MSIBA UPO
ADDRESS NI 
482 ARWELL CT
FREDERICK, MD,21703

AU WAWEZA WASILIANA NA MMOJA YA WANAKAMATI HAPO CHINI NA KUMUELEKEZA UPO WAPI ILI AWEZE KUKUSANYA MCHANGO WAKO 

Tino Malinda -240-565-7133
Dickson Mkama - 301-661-6207
Mariam Mtunguja - 240-422-1852
Quizella Ntagazwa - 240-602-5011
MV Mtunguja- 240-593-0575
Victor Marwa - 240-515-6436

Faith Isingo - 240-705-1055
Julius Manase-240-393-8445
UKISOMA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO, WAJIBU HUU NI WETU SOTE NA KWA PAMOJA TUNAWEZA
HAKUNA KIDOGO PALIPO NA NIA. NA HAKUNA KIKUBWA PALIPO NA UMOJA.

VIDEO-KANYE PROPOSAL TO KIM!

BOW WOW TALKIN NEW ALBUM ON CASH MONEY!

Rapper Bow Wow is planning to showcase a more mature side of his rap career, with an upcoming mixtape that is slated to drop at the top of the year.
According to Bow Wow, the untitled mixtape will reunite the rapper with the man who discovered him – Snoop Lion.
Bow Wow told AllHipHop.com that the mixtape will be eight tracks and will be narrated by Snoop Lion.
“It’s a movie, it’s unlike anything that has ever been put together before,” Bow Wow told AllHipHop.com. “Snoop is narrating it, and of course I’ve got the movie to go with it, so that’s [the mixtape] is how I am launching my first official project off Cash Money.”
Bow Wow also revealed that the mixtape would be accompanied by visuals, that would make up a movie.
Bow Wow told AllHipHop.com that he decided to put his recording career on hold, as he focused on his hosting duties at “106 & Park.”
He also said his Cash Money debut will feature more mature content, since he has grown in life, which includes his new gig at BET as well as the job of being a father.
“When I started at BET I didn’t want to attack it and make it look like I took over ’106 & Park’ to pump my s**t,” Bow Wow explained to AllHipHop.com. “I had to approach that s**t like a real job and take it over. As you can see, I put out no videos on the countdown, I didn’t do none of that. I wanted to get a full year in before I got back into that and I was waiting for more material I had my daughter, she’s going on three.I got alotta s**t to now right about and go in-depth with.