Baada ya Kuachana na mumewe NIck Canon Mariah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer.Habari tulizopata zinasema Carey alihamia mara baada tu ya sikukuu ya Halloween.Kwasasa inasemekana anafuraha kupita alivyokuwa na Nick !
FINALLY "RIHANA " AANZASHA KAMPUNI YAKE YA UREMBO -INAITWA FR8ME
NA Hollywood Reporter- Rihanna ameanzisha kampuni ya Urembo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na meneja maarufu wa watu wenye vipaji Marekani Benoit Demouy, huku hadi sasa wakiwa wamekwisha wasaini baadhi ya wasanii kwenye kampuni hiyo.
Wasanii ambao wamekwisha sainiwa ni pamoja na Taraji P. Hensen, Jason Bolden, Patricia Morales, Evan Rachel Wood na Fergie.“Tuna bahati kubwa kupata wasanii bora katika kampuni hii,’ alisema Rihanna
PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI
Ndugu Dickson anayefahamika kwa wengi kama Mr "DMK "
Kampuni hii inafanya Shuguli zake Marekani za kuandaa Events mbali mbali za burudani kama CLUB EVENT,CONCERTS, CARNIVALS ikiwa ni pamoja na kuleta wasanii Marekani kutoka Tanzania na Africa kwa ujumla,pia inafanya matamasha ya Burudani na wasanii wa Marekani pia.Baada ya Tuzo hizi Tulimpigia simu bwana DMK na kumpongeza kwa kuiwakilisha vyema Tanzania na East Africa kwa ujumla ambapo aliwashukuru sana waliompigia kura kote Duniani na kuongezea kuwa Tuzo hii ameipata yeye lakini angependa ijulikanekuwa shughuli hizi huwa anazifanya kwa kusaidiana na Partners wake kampuni za Safari Entertainment na J&P Ent ambazo amesema kuwa bila wao kushurikiana nao asingekuwa hapo alipo.
Bwana DMK amesema tutegemee Mambo makubwa mengi kutoka kwake na Partners wake hivi Karibuni.
COMEDIAN MAALUFU BARANI AFRICA KUTOKA UGANDA "KANSIIME" KUWAVUNJA MBAVU WASHINGTON DMV " THANKS GIVING FRIDAY " NOV 27 !
HIVI KWANZA UNAANZAJE KUKOSA,HII ITAKUWA SOLD OUT
NUNUA TICKET ZAKO ONLINE BADO MAPEMA AU PIGA SIMU NAMBA 3016616207
DIAMOND PLATNUMZ, VANESSA MDEE NA OMMY DIMPOZ NDANI YA "CELEBRITY PARTY" HOUSTON TEXAS IJUMAA HII 0CT 9.
VANESSA MDEE PERFORMING LIVE
DIAMOND PLATNUMZ - HOSTOMMY DIMPOZ -HOST
KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MAREKANI " 3 SUPERSTARS IN ONE NIGHT #HOUSTON TEXAS ONLY !
"OMMY DIMPOZ" NA " SHILOLE" KUKINUKISHA WASHINGTON DC LABOR DAY WEEKEND WAKISINDIKIZWA NA '"OC" KUTOKA ZAMBIA
SHOW HII INAWAUNGANISHA WASANII WATATU KUTOKA TANZANIA NA SOUTH AFRICA YAANI PATA SHOW TATU KWA BEI YA SHOW MOJA.
OSCAR PISTORIUS KUACHIWA IJUMAA
Mwanariadha Oscar Pistorius.
Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Mwanariadha mahiri wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius anatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii baada ya kuonyesha tabia nzuri akiwa gerezani. Pistorius alihukumiwa kifungo cha…
Subscribe to:
Posts (Atom)





