AUNTY EZEKIEL ACHUKIZWA NA UAMUZI WA KING MAJUTO !!

WAKATI mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo.
Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali inawezekana kuna tatizo lake lingine.
YAMOTO BAND LIVE KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON { Made in East Africa }
Confirmed...21Feb2015..Yamoto! Yamoto! Yamoto Band Live in the UK For the first Time Ever...When we Say Live, we mean
Live with Full Band & Dancers...
This is one show that's not to be Missed... Sponsored by @officialjestinageorgeblog @bongodeejays@zuriihouseofbeauty
Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa yamoto band Maromboso na Aslay baada ya makubaliano ya kuwadhamini band hiyo kuja kufanya show yao jijini London @maromboso @aslayisihaka
Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na mameneja wa yamoto band
It's gonna be bigger and better! UK & Europe people Save the Date. Their Live Performance is a must see..If you love live music
Make sure you get your tickets mapemaaaa...Hili ni Bonge la show kuwahi kutokea na watoto wameahidi kuweka historia
DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE
Promoter " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya Diamond .
Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo kwani anaipeperusha Vyema Bendera ya Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)

