Gari la Chameleone lakamatwa Kwa kushindwa kulipa Kodi.


   Mwanamuziki Tajiri kuliko wote Afrika Mashariki Jose Chameleone amenyang'anywa Gari lake aina ya Cadilac Escalade baada ya Kushindwa kulipia Kodi yenye thamani ya jumla ya Shiling Milioni 7 za Uganda.
   Akizungumza kwa njia ya Simu na Swahili Meadia Group Chameleone alithibitisha kukamatwa kwa gari hilo akiwa anajiandaa na show yake kubwa ya Tubonge na akadai kuwa tatizo sio pesa bali nikwamba URA(Uganda Revenue Authority) walishindwa  Kuthibitisha ni vigezo gani walitumia kupata thamani ya kodi ya Shilingi Milioni 7.

EMBU MWANGALIE X -GIRLFRIEND WA DRAKE


DIAMOND OFF TO NIGERIA AGAIN


                                               Diamond na Wema wakiwa Aiport
Diamond akiongea na Swahili Media hakutaka kutoa dondoo nyingi ila alisema kuwa tutegemee kuona Colabo na Wasanii wakubwa wa Nigeria kama DBanji na Wiz Kid.

                                     Akiwa akiwa ameongozana na Manager wake Babu Tale

VIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO

Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia www.vijimamboradio.com na toa maoni yako kumbuka tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha Radio hii na kama una maoni au ushauri unaweza toa maoni yako au tuandikie barua pepe djlukejoe@gmail.com au Vijimamboblog@gmail.com asante endelea kuburudika na VIJIMMBO RADIO

JENNIFER LOPEZ BRAND NEW VIDEO...SHE IS CHANGING THE VIDEO VIXEN GAME

                         
TEAM NZIMA YA DMK GLOBAL PROMOTIONS INAKUTAKIA HERI YA KUZALIWA...NA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUZIDISHIA MIAKA MINGINE MINGI.