NAY WAMITEGO ASEMA CHIDI BENZ AACHE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA KAMA ALIVYOAHIDI!

               
                                                            NEY WA MITEGO
         
                                                              CHIDI BENZ
DROP BOX ni Segment (Kipengele) kinachopatikana kwenye kipindi cha DUNDO cha MJ FM kinachoendeshwa na DJ HAAZU ambacho kinampa nafasi Seleb mmoja kumzungumzia Star Mwenzake anavyomfahamu, vitu gani anavyovipenda kwake, vitu gani anavichukia na Ushauri wake kwake.

Amebananishwa Msanii anayefanya poa kwa ngoma yake ya Salamu zao na muziki gani "Nay wa Mitego" kumzungumzia Chid Beenz ambapo Nay aliamua kufunguka kwamba yeye ni Mmoja kati ya waliokuwa Mashabiki wakubwa sana wa Muziki wa Chid Beenz ila alimpoteza tu pale alipoanza kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.
Nay anaamini kuwa mambo ya ajabu anayoyafanya Chid anashawishiwa na kutumwa na Madawa pamoja na Pombe zake na ndiyo maana pia anagombana na watu ovyo ovyo.

Kwa upande wa Vitu anavyovipenda hadi leo kwa Chid Beenz ni Flow yake na anavyoitune Sauti yake hapo ndipo Ney anaposema kuwa hata sauti yake inatokana kic kidogo na Sauti ya Chid kwani alikuwa anatamani kuwa kama Chid Kitambo hicho.

Ushauri wake ndo ukafikia hapo kuwa Chid aache Madawakama alivyoahidi kuwa anaacha na kusema kuwa kama angekuwa ameacha tungeona amebadilika.

MSIKILIZE NAY HAPA AKIFUNGUKA KWENYE DROP BOX 

EXCLUSIVE INTERVIEW -OMMY DIMPOZ ALONGA NA AYO TV DAKIKA CHACHE BAADA YA KUTUA BONGO !

Ommy Dimpoz alizungumzia kuhusu Mapokezi yake yalivyo kuwa,Jinsi Show zake zilivyo kuwa ikiwa ni pamoja na tofauti ya malipo kati ya show za nyumbani na za nje,Pia Brand yake ya nguo ya "PKP"
Hapa Dimpoz akiwa Washington DC akielekea Airport akionyesha Brand yake ya "PKP"
Hapa Dimpoz Akiwa Ndani ya Business Class akielekea Bongo
Baada ya kufika TZ angalia jinsi Kofia zake zilivyopata Fans kwa kasi
Hizi ni baadhi tu ya Kofia..kwa Kuoda Mpigie Mubenga !

Sikiliza Interview yake aliyo fanya na Millard Ayo wa AyoTV


SKYLIGHT BAND NDIO WAKALI WA TOWN, TUKUTANE THAI VILLAGE MASAKI LEO JIONI

IMG_0005  
Aneth Kushaba AK 47, Mary Lucos na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_0006
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao.
IMG_0016
Mwanadada akionekana kuchuzika na Skylight Band...Hapana chezea kabisa...

WAJUE WALIMU WA KISWAHILI WASHINGTON DMV!


Mwalimu Mkuu wa darasa la Kiswahili. Mwl. Mkumbuka akipata picha ya pamoja na Mwl. Iris Zielske mara baada ya kusaini mikataba ya kufundisha watoto wa Kitanzania kwenye darasa la Kiswahili, DMV pale College Park, Maryland mapema wiki iliyopita.
               
Walimu  wa darasa la Kiswahili wakipata picha ya pamoja katika maandalizi ya kufunguliwa kwa darasa la Kiswahili, darasa lianaoratibiwa na Jumuiya ya Watanzania hapa DMV. Kutoka kushoto ni Mwalimu Bernadeta Kaiza, Mwl. Iris  Zielske,   Mkuu, Lucia Mkumbukwa, na Mwl Asteria Hyera. Darasa yatafunguliwa siku ya Jumamosi Oct. 19, 2013, saa tisa (3:00pm) pale University of Maryland, College  Park. Walimu Asha Nyang'anyi na Mama Anna Mukami (hawapo pichani) hawakuhudhuria mkutano huo.

Wakiwa na nyuso za furaha ni walimu wa darasa la Kiswahili hapa DMV mara baada ya mkutano wao ulioweka mikakati ya namna ya kuliendesha darasa hilo kwa ufanisi. Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu, Lucia Mkumbukwa, Mwl. Bernadeta Kaiza, Mwl. Asteria Hyera na Mwl. Iris  Zielske ambaye ni mwalimu mpya kabisa  aliyejiunga na madarsa ya Kiswahili mwezi huu. 

OMMY DIMPOZ AITIKISA DAR LIVE AKISHIRIKIANA NA JOH MAKINI NA WENGINE WENGI!


             Mashabiki walipagawa huku wakimvuta kila mtu akitaka kumgusa gusa tu.

                          Washabiki wakiitaka Miwani aliyokuwa amevaa Dimpoz

              Mwamba wa Kaskazini Joh Makini akilishambulia Jukwaa Vilivyo

                 Masai wa Kigoma..naye alikuwepo na miondoko yake ya Kimasai masai

                 Twanga Pepeta wakitwanga Jukwaani..kama wanavyoonekana

         Mwana Mazingaombwe Profesa Kalabash naye akifanya mbwembwe zake jukwaani
Hakika sikukuu ya Eid ilikuwa swafi kabisa kwa wakazi wa Dar-es-salaam kwakuwa mbali na Dar Live pia kulikuwa na show nyingi tu Kigambni na sehemu zingine.

MWANA DADA SARA KAISI "SHAA" AJA NA TEASER YA WIMBO WAKE MPYA "SUGUA GAGA "

 

SIKUKU YA EID-WATOTO WAJIRUSHA RUSHA NDANI YA DAR LIVE !


       Juu na Chini Watoto wakionyesha Miondoka yao Kabla ya Show ya Ommy Dimpoz na Joh Makini Usiku.

                                                          Watoto wa Dar utawaweza wewe?





               Kama Desturi yetu Mchana ni Party toto na watoto walifurahia sana.
Kutoka GPL

J.LO..IS SHE ABOUT TO BE OR IS SHE SINGLE AGAIN?

MKURUGENZI WA MISS TANZANIA HASHIM LUNDENGA AMPONGEZA BRIGGITTE..AMWITA SHUJAA !


Brigitte akiwa na Mkurugenzi wa Miss Tanzania Ndugu Hashim Lundenga ,Pamoja na Mama yake
        
Bwana Lundenga aliyasema hayo wakati wa Hafla ya kumpongeza Brigitte kwa kushika nafasi ya # kwenye kipengele cha Miss World cha Urembo wenye malengo maalu.Wawakilishi wote wa Miss World walichuana katika kipengele hicho na Mtanzania huyo ambaye ni Miss Tanzania 2012 alishika nafasi ya pili.
     Lundenga alisema nafasi hiyo niya juu na haijawahi kushikwa na mtanzania yoyote huvyo watanzania wote tujivunie ushindi huo kwani Brigitte aliwashinda warembo wote kutoka nchi zote za dunia walioshiriki nakushika nafasi hiyo yatatu.
    Pia alimpongeza mama yake Brigitte kwakuwa bega kwa bega kumsuport  mwanae nakusema ni mfano wakuigwa.Pia aliitumia nafasi hiyo kuwashukuru Redd's ambao ndio wadhamini wa Miss Tanzania na pia ndio waliodhamini sherehe hiyo.

OMMY DIMPOZ AIPEPERUSHA KWETU FASHION DESIGN BY MISSY TEMEKE !


 Mwanamuziki wa Kizazi Kipya  Ommy Dimpoz akiwa amepozi na Mavazi ya kiume ya Kwetu Fashion Design ya Mbunifu aliyewahi kushinda Taji la Miss Temeke .Mavazi ya Kiume sasa yanapatikana !