ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904
Soulja Boy Kicked Off Plane for Not Taking His Seat
Atlanta rapper Soulja Boy was kicked off an American Airlines flight for not taking his seat, according to TMZ. The website posted a short video of the "Zan Wit That Lean" rapper taking his bags out of the overhead luggage compartment while two officers stood behind him.
According to several reports, the flight attendant came on the intercom and asked everyone to take their seats, but Soulja Boy allegedly kept walking up and down the aisles. The attendant then approached the rapper and asked him to take his seat, or he would be escorted from the plane.
When he didn't take his seat, officers boarded the flight and escorted him away, which Soulja told TMZ was all a big misunderstanding.
"It was a bad night and me and the flight staff didn't see eye to eye. In hindsight, I'm extremely sorry for all inconvenience caused to the passengers and employees of the airline."
Leo asubuhi Rapper Joulja Boy alitimuliwa kutoka ndani ya ndege na kushushwa chini na Air Marshal baada ya kutokutii kauli ya wahudumu wa ndege iliyowataka watu wote kukaa chini nakufunga mikanda ili ndege ianze safari.
Rapper huyo aliendelea kusimama bila kutii wakati ndege inataka kuanza safari na muhudumu (hostess) alimfata nakumuomba kwa upole akae chini nakufunga mkanda lakini yeye hakutii ndipo walipoitwa Aior Marshal kufanya kazi yao nakumtoa nje kama mwizi bila kujali yeye ni nani.Marekani usipoti sheria haijalishi wewe Rapper au Mfalme.
SOULJA BOY AKITOLEWA NJE BILA UJANJA
Ila baadae kwenye Twitter yake Soulja Boy aliomba msamaha kwa yaliyotokea lakini waingereza wanasema the Damage has been done.....too little too late.
SWAHILI RADIO KUANZA KURUSHA MATANGAZO HEWANI HIVI KARIBUNI KUTOKEA JIJINI WASHINGTON D.C. USA
Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati wa majaribio
Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio
Bwana DMK akiendelea na majaribio ya kipindi chake cha Entertainment
Alex Kassuwi akiweka mitambo sawa wakati wa majaribio
DMK akikamilisha taratibu za mwisho mwisho kuingia hewani
Alex akifurahia baada ya mitambo kuonyesha mafanikio katika majaribio
Wakurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex na DMK wakiendesha kipindi cha majaribio hewani
SWAHILI RADIO
Ni Radio iliyoanzishwa Jijini Washington DC USA na Kampuni ya "MMK MEDIA GROUP LLC " ambao wanamiliki Swahili Radio On Line,Swahili TV on Line,Swahilitv Blog, Swahili Magazine USA-AFRICA,na The Bridge Show ndani ya DCTV.
Radio hii pamoja na TV ziko kwenye majaribio kwa sasa na zitaanza kuwa hewani kwa watu wote kusikiliza na kuangalia punde muda wa majaribio utakapo malizika.Watanzania hao watatu wote kwa pamoja wanayofuraha kubwa kwa jinsi ambavyo majaribio ya kazi hizi yanavyoendelea na kwa kingereza wanasema THEY CAN'T WAIT TO BRING TO YOU WHAT YOU HAVE BEEN WAITING FOR.
"PROGRAMS ZA RADIO KWA KUANZIA"
*KIPINDI CHA BURUDANI NA MICHEZO DUNIANI*
*MAPENZI NA MAISHA*
*MAISHA UGHAIBUNI*
*HABARI ZA DUNIA*
*THE WEEKEND SPECIAL*
KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM

DIAMOND NA DIMPOZ KUTOFUNGUA FIESTA 2013 KIGOMA JUMAMOSI HII TAREHE 17 !
Jumamosi hii tarehe 17 Fiesta itafunguliwa Kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma Mjini na wasanii watakaokuwepo kwenye shoo hiyo ya ufunguzi ni hawa wafuatao ingawa majina mengi Makubwa hayatakuwepo kwenye ufunguzi huo.

BARNABA A.K.A BABA STEVE

RECHO - A.K.A. KIZUNGUZUNGU

SHETTA MZEE WA NIDANGANYE DANGANYE DANGANYE
NAY WA MITEGO....MZEE WA SALAM ZAO

TID-MWAKA HUU YUMO JE KUNANI???

AMINI MWINYIMKUU-KUTOKA THT

SHILOLE A.K.A MAUNO
WENGINE NI- MWANA FA,AY,CHEGE,TEMBA,LINEX,JOHN MAKINI,STAMINA,MADEE,PETER MSECHU,WEUSI(NICKI MBISHI NA G NAKO), GODZILLA,BABA LEVO,MAKOMANDO
Jambo la kushangaza ni kwamba Majina makubwa ambayo yanatokea kigoma hayamo kwenye ufunguzi huu kitu ambacho kimeachagumzo kwa watu wengi.
Mwandishi wetu wa burudani Bwana DMK aliwapigia simu wasanii hao wakubwa Tanzania ambao hawajatajwa kwenye ufunguzi DIAMOND NA OMMY DIMPOZ ambao wanatokea Kigoma na ingekuwa vizuri wangekuwepo kwenye ufunguzi huo.Wasanii hao walisema kuwa wangependa kuwepo Kigoma lakini kutokana na utata wa Ratiba kwani siku hiyi hiyo watakuwa kwenye shoo ya KILIMANJARO MUSIC AWARD TOUR Jijini Mwanza wakiendelea na Tour hiyo ambayo ilisimama kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani na sasa inaendelea.
Tuliwapigia simu Clouds FM kutaka kujua kuwa kwanini wameamua kupanga Ratiba inayogongana na KILIMANJARO kwani huko nikuwanyima washabiki wa Kigoma nafasi ya kuwaona Wanamuziki hao watoto wa nyumbani,Mwakilishi huyo wa Clouds(Jina tunalihifadhi)alisema None of their Business.
Na Mwandishi wetu DMK411.

MAELFU WAJITOKEZA TAMASHA LA WA AFRICA WASHINGTON DMV - MAREKANI
Tamasha Hili la "FEST AFRICA" hufanyika kila mwaka katika Jiji la Silver Spring ambapo Mwaka huu Tanzania iliwakilishwa vyema kama inavyooneka na Bendera ya Tanzania ikiwa ya Kwanza kabisa mkono wa kulia.Tamasha hili lilifanyika Jumamosi na Jumapili katika Viwanja vya Veterans Plaza Silver Spring jumapili kama inavyoonekana kwenye picha ndio ilikuwa siku yenyewe haswa.Mbali na Chakula cha Kiafrica ambacho hupatikana kwenye tamasha hilo,pia Mitindo ya Mavazi ya kiafrica pamoja na utamaduni na muziki wa kiafrica na ngoma za asili huonyeshwa.
LORRAINE KLAASEN akiwajibika jukwaani huku watu wakirikaruka bila kupata nafasi ya kukaa chini kwa masaa yote mawili aliyokuwa Jukwaani.
Emmerson Mwanamuziki kutoka Sierra Leone akitumbuiza kwa madaha kabisa akijivunia Uafrica wake ndani ya Marekani.
Kikundi cha Ngoma za Asili kikitumbuiza
Mwanadada Naomi kutoka Cameroon alikonga nyoyo za watu.
Mitindo ya Mavazi ya Kiafrica iliwarusha roho maelfu ya watu waliojitokeza huku mamodel wa Kiafrica wakizidi kujichukulia Umaarufu katika Jiji la Washington nchini Marekani.
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MRS MULAMULA ASHEHEREKEA SIKUKUKUU YA EID NA WANA TAMKO WASHINGTON DMV!

BALOZI MULAMULA AKITOA NENO KWA WANA TAMKO

DJ MOE NAE ALITOA BURUDANI KABAMBE

NDUGU MATOPE NA MKE WAKE MISSY TEMEKE WAKIPOZI NA BALOZI MULAMULA

WAREMBO WA DC NDANI YA SIKUKUU YA EID DMV

ABDUL SEBO KATIKA POZI NA MKEWE PAMOJA NA RAFIKI YAO

DATUU.SALMA NA KADOGOO KATIKA POZI

MDAU ADAM AKIWA AMEPOZI NA BI SALMA JAY JAY
BURUNDI WAACHA HISTORIA MAPOKEZI YA OMMY DIMPOZ"...MAREKANI IS NEXT !
WASHABIKI WALIFUNGA NJIA POLISI WALISHINDWA KUWAZUIA.
OMMY DIMPOZ KUANZA TOUR YAKE MAREKANI MWEZI WA TISA TAREHE 21 WASHINGTON DC !!
JAY Z ACCUSED FOR WANTING TO CHEAT ON BEYONCE?????
Rapper ambaye ndo kwanza anachipukia "LIV" ametoa shutuma nzito ambazo amedai Jay Z alikuwa anamnyemelea akitaka afanye nae mapenzi wakati bado anamke (Beyonce)..shutuma hizi zimeenea sana kwa sasa na Mwandishi wetu DMK alijaribu kumpigia simu Jay Z na ROc Nation ili kupata ukweli lakini simu hazikujibiwa.Je kuna ukweli ndani yake au "Just another gold digger try to get famous????endelea kutembelea BLOG YETU YA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM na WWW.DMK411.BLOGSPOT.COM kwa more updates.
D'BANJI BACK ON STAGE WITH HIS FORMER PARTNER DON JAZZY-VIDEO
A lot of people have been talking about a D'Banji and Don Jazzy re-union since their shocking break up, and this is by far the closest they have appeared together in public since the break-up in March 2012 and the venue was perfect, the wedding ceremony of D’banj’s sister. The erstwhile partners met up at D’banj’s younger sister’s wedding to Cool FM’s Dotun on, August 3, 2013 at The Grandeur Event Centre, Ikeja, Lagos.
The top producer at Mavin Records and top recording artiste at DB Records shocked guests when they got on stage and performed some of their hit duets including ‘Mr Endowed’, ‘Fall in love’ and ‘Suddenly’ for the new couple.DMK 411 reporter was thrilled to see that the two are back .
Although the pair has met a couple of times since parting ways, it is the first time they’re performing together.
It was not clear as at yesterday if Don Jazzy would attend the wedding. But those familiar with the producer say it’s no surprise he joined the Oyebanjos for what’s an important celebration. ‘Don Jazzy is part of the family. What has happened has happened, but Jazzy was quite close to the family and D’Banj’s mom was like the mother of Mohits’, a source told NE.
D’banj who confessed he’s ‘extremely happy’, about the surprise reunion also presented the couple with a brand new Honda CRV.
Don Jazzy and D’banj’s relationship collapsed controversially last year. Label-mates and collaborators like Dr SID, D’Prince and Wande Coal took sides with Don Jazzy while younger brother KaySwitch pitched tents with D’banj.We will continue to update you if more comes from these two..please visit our sister blog FOR MORE AT WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM
Subscribe to:
Posts (Atom)