KANYE WEST AND KIM POSE NUDE !!!!!


                        
Another KANYE WEST and KIM KARDASHIAN headline — what’s new, right? This one should grab both positive and negative attention, per usual, again, as the power couple has stripped down and gone nude for the cover of French publication, L’Officiel Hommes.
The shot was reportedly captured by Nick Knight, as the coinciding issue is scheduled to hit newsstands during this spring. Be sure to leave us your thoughts on the racy cover, featuring Kimye. Oh, but congrats again on the news of the baby girl.

DIAMOND AONYESHA JUMBA LAKE ANALOJENGA!!



                             PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS

VITUO VIWILI VYA RADIO VYAFUNGIWA MIEZI SITA...CLOUDS FM YAPONEA CHUPUCHUPU..YAPIGWA FAINI..SOMA KWANINI!!


Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.
Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.
Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.
Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili.
PIA Kwa Kuendesha/kushabikia masuala ya ushoga wakati wa uchaguzi wa Marekani, kuendesha kipindi cha uchochezi wakati wa uchaguzi wa Marekani.

EXCLUSIVE VIDEO-TALENT FROM TANZANIA "WINNIE & AIKAA "LOVE U AGAIN"

UCHAGUZI WA VIONGOZI TAWI LA WASHINGTON DMV JUMAMOSI TAREHE 16 !



Email address:ccmwashdc@gmail.com

TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAWI LA CCM DMV
Ndugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano wa uchaguzi bila kukosa,
 Ni nafasi ya kuwachagua viongozi wako utakao wapenda kujenga Chama imara.
SIKU: JUMAMOSI Machi 16, 2013
MUDA:  SAA 10 JIONI (4pm)
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
 Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi wa muda
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email: yacob1972@yahoo.com

Nafasi zinazowaniwa ni:
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Jumuiya ya Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Tawi

SIFA ZA MGOMBEA:
1.       Awe na umri kuanzia miaka 18
2.       Awe mwachama wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi ziwakilishwe kwa M/Kiti ( HIDAYA MAHITA)wa Kamati ya Uchaguzi kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784     Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING MD 20903


MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI  TAREHE 8 MARCH 2013

ZILE PICHA ZA "THE ELITE SOCIETY BLACK & RED DINNER AFFAIR "...KUTOKA KESHO PLZ CHECK BACK HERE !!


DIAMOND NA PENNY..JE NI KWELI WANATEGEMEA MTOTO????...ANGALIA PICHA HII !!!

804dd9627b9611e292b622000a1fb73b_7
Damn! is she pregnant already?
                                       JE NI KWELI MJAMZITOOOOOOOOOOOOOO
f15a59c07b3511e2b4f022000a1f9ac6_7
0d7bac787b3411e28c6a22000a9f3c64_7
4de83da67d7f11e28f8322000a9f18ae_7

KIM KARDASHIAN DID IT AGAIN..SHOWING OFF THE BABY BUMP AT THE OSCAR VIEWING PARTY !



     

MAVAZI YALIYOTAMBA OSCAR 2013....MASUPER DESIGNER WAZIDI KUNG'ARA !!


Renee Zellweger in Carolina Herrera


Reese Witherspoon in Louis Vuitton

Norah Jones in Tadashi Shoji
Nancy O'Dell in Mark Zunino

Olivia Munn in Marchesa
Marcia Gay Harden in David Meister


Robin Roberts

Kerry Washington In Miu Miu
Jennifer Aniston in Valentino
Zoe Saldana In Alexis Mabille Couture 
Kelly Rowland in Donna Karan Atelier

CLICK READ MORE FOR MORE

VIJIMAMBO NA "KIJIWE UGHAIBUNI"